VIGEZO SIFA ZA KUJIUNGA NA JESHI LA
POLISI
MUOMBAJI ANATAKIWA:
AWE MTANZANIA KWA KUZALIWA.
1.
AWE NA UMRI KUANZIA MIAKA 18 HADI 25.
2.
AWE AMEHITIMU KIDATO CHA NNE NA KUWA NA UFAULU WA DARAJA LA KWANZA HADI LA
NNE KWA ALAMA 28.
3.
AWE NA UREFU USIOPUNGUA 5’3” KWA WASICHANA NA 5’6” KWA WAVULANA.
4.
AWE NA AFYA NJEMA ILIYOTHIBITISHWA NA DAKTARI WA SERIKALI.
·
ASIWE NA ULEMAVU WA VIUNGO
·
ASIWE NA MAKOVU MAKUBWA
·
ASIWE NA CHATA MWILINI (TATOOS)
5.
ASIWE NA KUMBUKUMBU ZA UHALIFU.
6.
AWE TAYARI KUFANYA KAZI MAHALI POPOTE NDANI NA NJE YA JAMHURI YA MUUNGANO
WA TANZANIA.
7.
AWE NA MOYO WA UVUMILIVU PIA AWE MBUNIFU ILI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA
KIUSALAMA.
No comments:
Post a Comment